Hospitali ya King Fahd Lamu ni mojawapo ya hospitali za zamani sana kisiwani

  • | Citizen TV
    193 views

    Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Lamu ya King Fahad iliyoko Kisiwa cha Amu ni kati ya hospitali za zamani zaidi kisiwani humo. Hospitali hii iliyo na zaidi ya miaka 40 tangu ilipojengwa ikiwahudumia mamia ya wakaazi Kila siku, Wengine wakitoka Hadi taiga jirani la Somalia