Wakenya waliotazama mechi wameelezea furaha yao

  • | Citizen TV
    652 views

    Kufuatia ushindi huo wa Harambee Stars, Wakenya waliotazama mechi hiyo walieleza furaha yao, huku wakiwa na matumaini kwamba timu hii ya taifa itaendelea kufanya vyema katika mashindano hayo ya CHAN