Serikali ya kajiado yasema jamii itanufaika mno na mbuga ya Amboseli

  • | Citizen TV
    93 views

    Baadhi ya Viongozi kutoka kaunti ya Kajiado wamendelea kupongeza serikali kwa kurejesha usimamizi wa mbuga ya Amboseli kwa serikali ya kaunti ya Kajiado