Wauguzi wanagenzi wamtaka Duale kubatilisha msimamo wake kuhusu wanafunzi kutoka vyuo fulani

  • | NTV Video
    113 views

    Wauguzi wanagenzi wamepiga kambi nje ya Wizara ya Afya jijini Nairobi kumtaka Waziri wa Afya, Adan Duale, kubatilisha msimamo wake wa kuwataka wanafunzi kutoka vyuo fulani kutopewa nafasi za kuhudumu nyanjani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya