Katibu wa knut atofautiana na naibu kiongozi wa chama cha Safina

  • | Citizen TV
    164 views

    Mzozo umeibuka kati ya katibu mkuu wa chama cha kitaifa cha walimu (KNUT) Collins oyuu na naibu kiongozi wa chama cha safina, willis otieno, kuhusu mkataba mpya wa nyongeza ya mishahara ya walimu kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Akizungumza katika mazishi ya mama wa mwenyekiti wa tawi la KNUT Bondo, Isaiah Oulo, Oyuu pia alionya serikali dhidi ya kupunguza mgao wa fedha za ruzuku kwa shule na kudhoofisha elimu ya msingi bila malipo