Nicholas Musonye anena kuhusu suala la uuzaji wa tiketi za kipute cha CHAN

  • | NTV Video
    16 views

    Mwenyekiti wa kamati andalizi ya kipute cha CHAN Nicholas Musonye amejitetea kuhusu suala la uuzaji wa tiketi. Tarayi yameibuka madai kwamba baadhi ya watu walinunua tiketi nyingi na kuwauzia mashabiki huku wengine wakikosa wateja.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya