Gavana Simon Kachapin awalaumu viongozi kutoka Pokot Magharibi kwa kuhusika kwenye siasa duni

  • | NTV Video
    44 views

    Gavana wa Kaunti ya Pokot Magharibi, Simon Kachapin, amewasuta vikali baadhi ya viongozi kwenye kaunti hiyo, akiwaelekezea lawama kwa kumpiga vita na kuhusika kwenye siasa duni za uongo na uchochezi kwa lengo la kulemaza maendeleo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya