Kizaazaa chazuka eneo la transformer huko Tudor Mombasa

  • | Citizen TV
    1,927 views

    Vurumai ilishuhudiwa katika eneo la transformer Tudor kaunti ya Mombasa hii Ni baada ya spika wa Bunge la kaunti Na baadhi wawakilishi wadi kuongoza ubomoaji wa mkahawa unaodaiwa kujengwa kwenye ardhi ya serikali