Skip to main content
Skip to main content

Hospitali ya Magadi kuendelea kutoa huduma

  • | KBC Video
    420 views
    Duration: 1:52
    Huduma za afya katika hospitali ya Magadi zinaendelea vyema licha ya swintofahamu iliyopo baina ya serikali na kampuni ya Tata Chemicals Magadi. Hospitali hiyo ya kiwango cha Level-4 ndiyo pekee inayotoa huduma kwa wakazi katika wadi ya Magadi na inaendelea kutoa huduma muhimu kwa wakazi zikiwemo zile za uzazi, upasuaji na matibabu ya magonjwamengine. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive