Hospitali ya mamilioni ya pesa yajengwa Mandera Mashariki

  • | KBC Video
    101 views

    Serikali ya kaunti ya Mandera imezindua kituo cha afya cha Kamor katika juhudi za kuimarisha utoaji huduma za matibabu kwa zaidi ya wakazi elf-15 wa eneo la Mandera Mashariki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive