Hospitali ya Mbagathi yapiga hatua ya kihistoria baada ya kufanya upasuaji maalum wa plastiki

  • | K24 Video
    24 views

    Kwa miaka mingi sasa, wagonjwa wanaohitaji upasuaji maalum wamelazimika kutafuta tiba nje ya nchi au kulipa mamilioni ya pesa katika hospitali za kibinafsi. Hospitali ya Mbagathi imepiga hatua ya kihistoria baada ya kufanya upasuaji maalum wa plastiki kwa Benard Sigei, aliyekuwa ameumia mkoni wake wa kushoto.