Hospitali ya Mwatate yapokea ufadhili wa shilingi milioni 100 kutoka serikali kuu

  • | Citizen TV
    113 views

    Hospitali ya Umma ya Mwatate, kaunti ya TaitaTaveta imepokea ufadhili wa zaidi ya shilingi milioni mia moj kutoka serikali kuu kupitia ushirikiano na serikali ya ubelgiji ili kupunguza chagamoto ya udhibiti wa taka ndani ya hospitali hiyo.