Skip to main content
Skip to main content

Hospitali ya Nairobi yasitisha ada mpya za matibabu

  • | Citizen TV
    395 views
    Duration: 58s
    Hospitali ya Nairobi imetangaza kusitisha ada mpya iliyoanza kutekelezwa hivi majuzi kufuatia mashauriano na washirika wakuu wa bima ambao walikuwa wameondoa huduma zao katika hospitali hiyo.Hospitali ilifafanua kuwa ongezeko la asilimia 5 kwa baadhi ya huduma za matibabu lilikuwa muhimu kutokana na kupanda kwa gharama ya vifaa vinavyoagizwa kutoka nje. Hospitali hiyo ilisisitiza kuwa inaendelea kushirikisha wadau wa bima ili kuhakikisha huduma kwa wagonjwa zinaendelea kutolewa.