Skip to main content
Skip to main content

Hospitali ya rufaa Makueni yalaumiwa baada ya mgonjwa kuathirika kiafya baada ya upasuaji wa jino

  • | Citizen TV
    1,852 views
    Duration: 2:41
    Hospitali ya rufaa ya Makueni inalaumiwa kwa utepetevu baada ya mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji wa kungo’a jino kupata matatizo yaliyomuathiri sana kiafya. Everline Kamanthe anasema, alienda kung’olewa jino kwenye hospitali hiyo mwaka wa 2021 lakini hali yake ya kiafya ikaathirika zaidi baada ya upasuaji huo na imemlazimu kufanya upasuaji zaidi ili kurekebisha hali hiyo