Hospitali ya rufaa ya Bungoma kupandishwa daraja

  • | Citizen TV
    125 views

    Wakaazi wa kaunti ya Bungoma wanatarajia kufaidi huduma za matibabu maalum baada ya serikali ya kitaifa na ile ya kaunti pamoja na benk ya maendeleo ya africa, African Development Bank kushirikiana kuboresha huduma katika hospitali hiyo kutoka hadhi ya daraja la tano hadi sita 6.