- 72 views”Hospitali ya Shifa ambayo ni kituo kikubwa sana cha matibabu imekuwa ikishambuliwa kwa muda wa saa 48 zilizopita, ina madaktari, wahudumu wa Afya na wagonjwa waliokwama ndani ya hospitali hiyo, kutokana na mapigano makali karibu na hospitali hiyo. Wahudumu wa afya wako hatarini, na hawawezi. kuhama, kuondoka au kuingia hospitali, wafanyakazi wetu walikuwa wameshuhudia kulengwa kwa baadhi ya watu ambao walikuwa wakikimbilia ndani ya hospitali, na hali inazidi kuwa mbaya, haswa na mfumo wa afya huko Gaza katika mwezi uliopita.” Kwa mujibu wa Mshauri wa mawasiliano wa maeneo ya Palestina yaliokaliwa
Hospitali ya Shifa imekuwa ikishambuliwa
- 17 Aug 2025 - ODM leader Raila Odinga has sharply criticised individuals who spread malicious rumours and wished death upon Siaya Governor James Orengo when he was out of the country for more than one month.
- 17 Aug 2025 - European leaders will join Ukrainian President Volodymyr Zelensky during his visit to Washington on Monday seeking an end to Moscow's invasion, after President Donald Trump dropped his push for a ceasefire following an Alaska summit with Russian leader…
- 17 Aug 2025 - Uganda has inaugurated its first large-scale gold mine, a $250 million Chinese-owned project in the country's east that will also refine the bullion to 99.9% purity, according to a statement from the president's office.
- 17 Aug 2025 - Whether in a sports jersey or a suit, Kenyan President William Ruto is casting himself as a model supporter of the national football team as an international tournament provides respite from recent bloody protests against his regime.
- 17 Aug 2025 - Security has been heightened along the Thika Superhighway near the Moi International Sports Centre, Kasarani, ahead of Kenya’s Harambee Stars match against Zambia’s Chipolopolo.
- 17 Aug 2025 - The second half is expected to bring more intensity as both teams chase a crucial win.
- 17 Aug 2025 - Many in Lesotho have been laid off and are now struggling
- 17 Aug 2025 - The Hollywood stuntman and actor died on 12 August at a care home in the US state of Missouri
- 17 Aug 2025 - LPG-powered cars are gaining popularity in the country.
- 17 Aug 2025 - Schools are set to reopen for the third term from next week.