Hospitali za kibinafsi na za kidini hazijatia saini SHA

  • | Citizen TV
    451 views

    Jioni hii ya leo, hospitali za kibinafsi na zile zinazosimamiwa na mashirika ya kidini zimedinda kutia saini kandarasi mpya za bima mpya ya matibabu ya umma ya SHA. Miungano ya hospitali hizi ikisisitiza kuwa serikali imesalia kimya licha ya deni lao la zaidi ya shilingi bilioni 21