Hospitali za umma zakabiliwa na changamoto ya kuwahudumia wagonjwa kufuatia mgomo wa madaktari

  • | K24 Video
    21 views

    Hospitali za umma zinakabiliwa na changamoto ya kuwahudumia wagonjwa kufuatia mgomo wa madaktari na hivyo wakenya wengi wamesalia bila ya matibabu muhimu kutokana na ukosefu wa fedha za kutafuta huduma hizo katika hospitali binafsi, na huku taifa likikabiliana na mzozo ulioko kati yake na madaktari, mahangaiko ya wananchi yanaashiria haja ya hatua za dharura kuchukuliwa haraka ili kuokoa sekta ya afya iliyo taabani.