Huduma Kenya yatuzwa idara bora kwenye maadhimisho ya Utumishi wa Umma

  • | NTV Video
    67 views

    Huduma Kenya ilituzwa tuzo ya idara bora kabisa katika kutoa huduma kwa Wakenya wakati wa siku ya tatu ya maadhimisho ya siku Afrika ya utumishi wa Umma ukumbini KICC hapa jijini Nairobi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya