Huduma ya teksi zinazojiendesha Marekani

  • | BBC Swahili
    0 views
    Huduma ya teksi inayojiendesha, isiyo na dereva imekuwa ikifanya majaribio huko San Francisco, Marekani. Mwandishi wa BBC amepanda moja ya gari linalojiendesha na kuelezea uzoefu aliopitia. #bbcswahili #marekani #usafiri