Huduma ya vijana

  • | KBC Video
    5 views

    Serikali imekariri mipango ya kupanua shirika la huduma ya vijana kwa taifa, NYS, ikilenga kuwasajili vijana laki moja kia mwaka.

    Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku, aliyetembelea chuo cha mafunzo ya NYS cha Gilgil alisema serikali iko tayari kuwapa mafunzo vijana kuwawezesha kujikimu. Alisema mipango inaendelea ya kupanua kituo hicho ili kiweze kuhudumia vijana wapatao 40,000 ifikapo mwaka 2026. Alisifia wakufunzi katika chuo hicho kwa kudumisha nidhamu miongoni mwa vijana na kuwapa moyo wa kuhudumu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive