Skip to main content
Skip to main content

Huduma za afya ya uzazi zinapaniwa kuimarika

  • | Citizen TV
    43 views
    Huduma za afya ya uzazi zinapaniwa kuimarika baada ya serikali na shirika la Amsons Group kutia saini mkataba w amakubaliano yatakayofanikisha ujenzi wa vituo kumi vya afya ya uzazi katika kipindi cha miaka mitatu.