Huduma za bima kurudi Nairobi Hospital baada ya mazungumzo mapya

  • | Citizen TV
    108 views

    USIMAMIZI WA HOSPITALI YA NAIROBI HOSPITAL UNASEMA UMEANZA MIKAKATI YA KUZUNGUMZA NA KAMPUNI ZA BIMA ILI KUREJESHA HUDUMA ZILIZOSITISHWA KUFUATIA KUONGEZWA KWA GHARAMA YA MATIBABU. AIDHA, BODI SIMAMIZI YA HOSPITALI HIYO IMESEMA TAYARI IMEONDOA NYONGEZA YA ASILIMIA TANO ILIYOKUWA IMEWEKWA. HOSPITALI HII IMEKUWA IKIKUMBWA NA MZOZO WA UONGOZI, ULIOSABABISHA MSUKUMO ZAIDI BAADA YA NYONGEZA YA ADA ZAIDI