Skip to main content
Skip to main content

Huduma za kawaida zaendelea Kericho Level 5 licha ya wasiwasi wa Ebola

  • | Citizen TV
    156 views
    Duration: 1:32
    Huduma za kawaida zinaendelea katika Hospitali ya Kericho Level 5 huku kukiwa na wasiwasi kuhusu utayari wa kaunti hiyo kukabiliana na uwezekano wa mlipuko wa Ebola.