- 43,789 viewsDuration: 2:31Mazishi ya mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, yanaendelea nchini humo. Alijulikana kwa utajiri na maisha ya kifahari, lakini pia alikumbwa na tuhuma kuhusu zabuni za serikali. Hawa ni baadhi ya watu mashuhuri barani Afrika ambao utajiri wao umekumbwa na maswali, utata au kesi za kisheria kuhusu namna walivyoupata. @mrs.tadicha anaelezea kwa kina #bbcswahili #utajiriafrika #chivayo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw