
4,595 views
Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
Mtu aliyetajwa na FBI kuwa miongoni mwa watu 10 wanaotafutwa zaidi amekamatwa nchini Mexico kufuatia majibizano ya risasi kati yake na vikosi vya usalama. Fausto Isidro “Chapo Isidro” Meza Flores na watu wengine saba walikamatwa katika operesheni ya vikosi maalumu vya jeshi la Mexico, katika jimbo la Sinaloa. FBI inamtuhumu kusafirisha kwa wingi dawa za kulevya kwenda Marekani, zikiwemo fentanyl, cocaine na heroin. -Marekani inataka akabidhiwe ili akabiliwe na mashtaka. #bbcswahili #Mexico #FBI #DawaZaKulevya #BBCNews Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.