
22,600 views
Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
Watu watano wameuwawa na wengine wanne kujeruhiwa katika uvamizi wa punde wa wezi wa mifugo katika eneo la Burat, Kaunti ya Isiolo. viongozi wa kaunti hiyo wameshutumu vikali kisa hicho na kutoa wito kwa asasi za usalama kuwakabili majambazi na kurejesha hali ya utulivu.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC