
4,119 views
Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
Novemba 13, 2026 ilikuwa siku ambayo baadhi ya watu waliihusisha na mwisho wa dunia, kufuatia utafiti uliochapishwa katika jarida la kisayansi la Science mwaka 1960. Lakini utafiti huo ulisema nini hasa, na kwa nini ulihusisha tarehe hiyo na mwisho wa dunia? #BBBSwahili #MwishoWaDunia #Sayansi #fyp #viral #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aahidi kuwepo kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2029.
- Soka Tanzania: Simba kutawala au Yanga kurudi kwa kishindo?