
21,739 views
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aahidi kuwepo kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2029.
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali ipo katika hatua za mwisho za maandalizi ya kuunda Tume ya Maridhiano ya Kitaifa, itakayosaidia kuimarisha umoja wa Taifa na kuweka msingi wa mabadiliko ya Katiba. Amesema Serikali inalenga ifikapo mwaka 2028 au 2029 Tanzania iwe tayari imepata Katiba iliyorekebishwa au Katiba Mpya Amezungumza hayo katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi, Moshi (CCP) Novemba, 20. #BBBSwahili #Tanzania #Katiba #tanzania #katibampya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono