
5,131 views
Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
Vijana nchini Rwanda wanageuza maganda na nyuzi za migomba kuwa vitambaa na mavazi ya kisasa Huu ni ubunifu unaounganisha teknolojia, ajira kwa vijana na utunzaji wa mazingira. #Rwanda #VijanaNaUbunifu #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV