
8,217 views
Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
Wafanyakazi wa nyumba ya wageni ya Raichoso, iliyoko katika eneo la Tateyama, katikati-mashariki mwa Japan, wamelazimika kutumia majembe kuondoa theluji na kujitengenezea njia ya kutoka baada ya kufunikwa na theluji kubwa huku kukiwa na baridi ya nyuzi -12 za Selsiasi. #bbcswahili #Japan #Theluji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.