
16,432 views
Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
Hukumu ya kifungo cha miaka minane na nusu kwa mwalimu wa muziki wa Australia Naomi Tekea Craig imefufua mjadala kuhusu visa vya walimu wanawake wanaotumia nafasi zao za mamlaka kuwanyanyasa kingono wanafunzi wa kiume. #bbcswahili #australi #unyanyasajimashuleni #wanawake #unyanyasajikingono Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV