
10,774 views
Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
Precious Wanjiru ni miongoni mwa vijana wa kike nchini Kenya wanaojifunza mchezo wa Wushu, sanaa ya mapigano inayotumia mbinu mbalimbali. Anasema kujifunza mbinu za mchezo huo si jambo gumu kwa mtu aliyeamua na kujitoa. Wushu inazidi kupata umaarufu barani Afrika, huku kuingizwa kwake katika Michezo ya Olimpiki ya Vijana kukitoa fursa zaidi kwa vijana kuutambua na kuushiriki. #bbcswahili #wushu #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono