Huduma za Kidijitali I Mkakati wa mwaka wa 2023-2027 wazinduliwa

  • | KBC Video
    20 views

    Serikali ina mpango wa kukamilisha uzinduzi wa mtandao wa kitaifa wa kutambua maeneo ya umma, uwekaji huduma za Intaneti yaani Wi-Fi, utoaji huduma za serikali kidijitali na kuimarisha sheria kuhusu utunzi wa Data. Chini ya mkakati mpya wa mwaka-2023-2027 ambao umezinduliwa, wizara ya habari, mawasiliano na uchumi wa dijitali, inanuia kubuni nafasi milioni 3.5 za ajira kwa vijana kufikia mwaka 2027 kutokana na biashara za mitandao na biashara nyingine mpya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive