25 Sep 2025 10:29 am | Citizen TV 124 views Duration: 50s Huduma za wagonjwa wa figo zimerejelewa katika Hospitali ya Kerugoya, kaunti ya Kirinyaga, baada ya kusitishwa kwa muda kutokana na kuharibika kwa mashine za kusafisha damu.