Huenda ada ya 3% ya nyumba za bei nafuu ikashushwa na kamati ya bunge ya fedha

  • | Citizen TV
    534 views

    Huenda ada ya 3% ya nyumba ikapunguzwa Kamati ya fedha yafanya marekebisho ya mswada Ushuru wa pembejeo wapendekezwa kuondolewa Kamati yataka kuondolewa kwa ushuru wa chanjo Kamati yataka kushushwa kwa ushuru wa petroli