Huenda bei ya mafuta kuongezeka hadi shilingi 300 kwa lita

  • | KBC Video
    35 views

    Bei ya lita moja ya mafuta ya petroli huenda ikapanda hadi shilingi mia tatu iwapo mapigano kati ya Israel na Hamas yataendelea. Haya ni kwa mujibu wa waziri wa kawi, Davis Chirchir, aliyefika mbele ya kamati ya mazungumzo ya kitaifa inayochunguza visababishi vya gharama ya juu ya maisha. Chirchir aliiambia kamati hiyo kwamba bei ya bidhaa za Petroli huenda ikapanda hadi kufikia Dola za Marekani 150 kwa pipa iwapo mzozo uliopo katika Ukanda wa Gaza utaendelea. Alisema kwamba afueni inaweza tu kupatikana kupitia ushirikiano baina ya serikali ya Kenya na serikali za mataifa yanayozalisha mafuta. Abdiaziz Hashim na mengi zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive