Kalonzo aitaka serikali itangaze mafuriko kama janga la taifa

  • | K24 Video
    37 views

    Familia zilizoathirika na mafuriko katika maeneo ya mumbuni, mutituni na Machakos ya kati zimepata msaada wa chakula na vifaa vingine kutoka kwa serikali ya kaunti ya Machakos. Viongozi wa Azimio waliokuwepo katika hafla hiyo iliyofanyika katika shule ya msingi ya mumbuni hata hivyo wamemtaka rais William Ruto kutangangaza athari ya mafuriko kama janga la kitaifa. Kufikia sasa ni watu ishirini walioangamia kutokana na mafuriko huku zaidi ya familia 25, 000 zikisalia bila makao kaunti hiyo.