Huenda chama cha ushirika cha wanawake cha Murang’a kikapoteza jengo lao

  • | KBC Video
    7 views

    Huenda chama cha ushirika cha wanawake cha Murang’a kilicho na wanachama zaidi ya elfu-2,500, kikapoteza jengo lao lililo karibu na chuo kikuu cha Murang’a, kufuatia deni la milioni shilingi milioni 80.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive