Huenda mfumo wa mtandao wa e-Citizen ukafungwa

  • | Citizen TV
    3,420 views

    Hii ni iwapo kandarasi ya wasimamizi itafutiliwa mbali

    Kampuni tatu za kibinafsi zinaendesha mtandao huo

    Kampuni hizo zina uhuru wa kusitisha huduma zake