Hussein Mohamed na Mohamed Abdi wafungwa miaka 30

  • | Citizen TV
    1,734 views

    Mahakama imewahukumu kifungo cha miaka 30 watu wawili waliopatikana na hatia ya kuhusika na shambulizi la kigaidi la hoteli ya Dusit ambapo watu 21 waliuawa.