Ibada ya kuanza shughuli ya kumteua papa mpya yakamilika

  • | Citizen TV
    317 views

    Makadinali 133 wamelingamana mapema leo katika kanisa la st peter's mjini Vatican kwa matayarisho ya kura ya kumchagua Papa mpya atakayeongoza kanisa Katoliki duniani. Shughuli ya kumchagua mrithi wa Papa marehemu Francis inaanza rasmi hii leo ambapo makainali watajifungia kwenye eneo la siri na kufanya uchaguzi kabla ya papa mtakatifu mpya kuchaguliwa. Moshi mweupe utakapofuka kwenye dohani ya kanisa la St Peter's utaashiria kupatikana kwa papa mpya.