Ibada ya mazishi ya marehemu Lizzie Wanyoike inaandaliwa leo huko Gatanga kaunti ya Murang’a

  • | Citizen TV
    2,290 views

    Ibada ya mazishi ya marehemu Lizzie Wanyoike inaandaliwa leo huko Gatanga kaunti ya Murang’a. Lizzie Wanyoike ni mfanyibiashara aliyesifika hasa katika mchango wake katika sekta ya elimu. Ni muasisi wa taasisi ya Nairobi Institute Of Business miongoni mwa biashara nyingine. Viongozi mbali mbali wanahudhuria ibada hiyo kabla ya mazishi kuandaliwa baadaye leo nyumbani kwake.