Ibada ya ukumbusho kwa waathiriwa wa maandamano ya Juni 2024 yaandaliwa

  • | KBC Video
    27 views

    Vijana humu nchini wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika ukweli na haki kudumishwa humu nchini. Wakati wa ibada ya maombi ya madhehebu mbali mbali iliyoandaliwa katika kanisa la All Saints’ Cathedral jijini Nairobi, kwa heshima ya vijana waliopoteza maisha yao wakati wa maandamano ya mwezi juni mwaka uliopita ya kupinga mswada wa fedha, vijana walihimizwa kuwa jasiri katika kuhimiza uwajibikaji na uongozi bora. Ibada hiyo imeandaliwa siku chache kabla ya matembezi ambayo yamepangwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive