Ibada ya wafu kwa marehemu Boniface Kariuki kufanyika Nairobi

  • | Citizen TV
    884 views

    Ibada ya wafu kwa marehemu Boniface Kariuki, muuzaji barakoa aliyepigwa risasi na polisi imefanyika leo nairobi huku familia yake ikiendelea kudai haki ya mauaji yake. Kwenye ibada hiyo iliyohudhuriwa pia na wanaharakati, serikali imekosolewa kwa agizo la rais kuruhusu polisi kutumia risasi kuwakabili waandamanaji.