Kaunti ya Narok kufaidika kwa ziara za watalii zaidi

  • | Citizen TV
    47 views

    Kivutio cha nyumbu kuvuka mto mara kutoka mbuga ya Serengeti nchini Tanzania hadi Maasai Mara nchini Kenya kimeorodheshwa rasmi katika kumbukumbu ya Guiness Book of World Records