Ibrahim Ndung’u na bintiye Mariam watwaa ubungwa kwenye mashindano ya ulengaji shabaha

  • | Citizen TV
    674 views

    Mlengaji shabaha mahiri wa Kenya Ibrahim Ndung'u pamoja na bintiye Mariam Ibrahim waling'aa katika makala ya mwaka huu ya ulengaji shabaha ya Mombasa Extreme IPSC kiwango cha pili yaliyofanyika katika klabu ya Bamburi Rifle jijini Mombasa.