Skip to main content
Skip to main content

Ida Odinga ahojiwa kuhusu uteuzi wake kama balozi Kenya UNEP

  • | Citizen TV
    1,450 views
    Duration: 2:34
    Ida Odinga amehojiwa leo na kamati ya bunge kuhusu masuala ya kigeni kuhusiana na uteuzi wake kuw abalozi wa kenya katika shirika la umoja wa mataifa kuhusu mazingira - UNEP. Ida ameahidi kufanya kipaumbele ajenda za Kenya kimataifa kwenye masuala ya mazingira. Na kama anavyoarifu