- 5,277 viewsDuration: 5:55Mkewe mwendazake Waziri mkuu wa zamani Raila Odinga Ida Odinga leo amerejelea safari yake ya miaka 54 na Raila kama wapenzi. Ida akisema ni safari iliyoanza kwa misingi ya mapenzi baina ya wataalamu wawili, asijue kuwa alikuwa akifunga ndoa na mhandisi wa kisiasa