Ida Odinga ataka wizara ya mipango kubuniwa

  • | Citizen TV
    1,858 views

    Mkewe kinara wa muungano wa Azimio-One Kenya, Ida Odinga, anaishauri serikali kubuni Wizara ya Mipango ili kutoa ushauri kuhusu miradi ya serikali na kuzuia kubuniwa kwa sera zisizokuwa na msingi. Ida anasema Kenya imepoteza mwekeleo.